Empowerment

Youth economic empowerment

Mradi wa kukopesha wajasiriamali Same

Ewe mwananchi wa Same, Je! Unawazo la kibiashara. Fika ofisini kwetu Mkabala na benki ya NMB same Mjini au piga simu namba  +255787356060 au   +255768028499 au  +2557544992...

TOFAUTI YA ZAKA NA DHABIHU

Mwl. Christopher Mwakasege Kutokutoa zaka na dhabihu ni kumwibia Mungu. Mtu aliye mkristo asipotoa zaka na dhabihu anaitwa mwizi. Kuna wakristo ambao ni wezi lakini wao hawajui yakuwa ni wezi. Wamemwibia Mungu zaka na dhabihu. Mungu anasema hivi:             ...

KANUNI ZA KIBIBLIA ZA USIMAMIZI WA FEDHA

“kanuni za kibiblia za usimamizi wa fedha zitakazo linda na kustawisha uchumi wako” UTANGULIZI: Kuna mafundisho mengi kuhusu jinsi ya kufanya biashara,kufanya ujasiriamali,kufanya miradi ,Kujiari n.k yote yaki lenga katika kuzalisha na kupata fedha au kukuza uchumi.lakini kuna mafundisho kidogo kuhusu upande wa pili ambao ni...

Usiyaone matatizo ya kiuchumi kama Kikwazo – Mwl Mwakasege

Shalom, Tunajua unataka uwe na uchumi mzuri. Hii ni kwa mwanadamu yeyote bila kujali mahali alipo,awe anafanya kazi au hata kama hafanyi kazi. Kuanzia leo na siku kadhaa zitakazofuata,tutajitahidi kukushirikisha misingi kadhaa iliyomo katika biblia,ambayo tunaamini itakusaidia uwe na uchumi mzuri. Msingi wa kwanza ni huu:Badilika unavyoamini...

New dinosaur species a rare find in Tanzania

Researchers have discovered a new species of dinosaur that lived about 100 million years ago and may have weighed as much as several elephants. The dinosaur, named Rukwatitan bisepultus, was a titanosaurian, a member of the large-bodied sauropods that thrived during the final period of the dinosaur age. The scientists unearthed the fossil in...

Page 1 of 212Next

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More